Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakifuatilia kwa makini.
Jopo la watoa mada kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa karibu wachangiaji wa mjadala huo
Mtoa mada kutoka nchini India akifafanua jambo
Picha ya juu ya washiriki wa mjadala kuhusiana na Indiafrica kwenye ukumbi wa Nkurumah wa Chuo kikuu cha Dar es salaam-UDSM
Mmoja ya washiriki wa kongamano hilo akichangia mada.
No comments:
Post a Comment